NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

Filed in Ajira by on 15.10.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

NAFASI Za Kazi Trees for the Future (TREES)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Trees for the Future (TREES) au (MITI) nishirika linaloshirikiana na wakulima nchini Tanzania na nchi nyingine kurejesha ardhi iliyoharibiwa na kuboresha maisha kupitia mpango wake wa mafunzo ya Forest Garden.

Mpango huo unawafundisha wakulima mbinu za kilimo mseto, ambazo zinahusisha kupanda maelfu ya miti na aina mbalimbali katika bustani ya Misitu ili kurejesha ardhi, kuongeza usalama wa chakula, na kuzalisha mapato.

TREES inashirikiana na mashirika ya ndani na washirika na serikali ya Tanzania kupanua juhudi zake za mafunzo.

TREES inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Trees for the Future Tanzania

TUMA MAOMBI HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *