KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

Filed in Usaili by on 15.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Liwale District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Liwale anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye Usaili tarehe 18/10/2025
kuanzia saa 2:00 Asubuhi kwenye vituo vifuatavyo:-

  1. Tarafa ya Kibutuka kituo ni Shule ya Sekondari Kibutuka.
  2. Tarafa za Liwale Mjini na Makata kituo ni Shule ya
    Sekondari ya kutwa Liwale (Liwale Day).

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *