NAFASI Za Kazi Nkinga Institute of Health Sciences

NAFASI Za Kazi Nkinga Institute of Health Sciences
NAFASI Za Kazi Nkinga Institute of Health Sciences
Taasisi ya Sayansi za Afya Nkinga (NIHS) iliyopo Wilayani Igunga, Tabora inatangaza nafasi za kazi katika nafasi tajwa hapa chini kwenye PDF.
Maombi yote yatumwe kwenye email healthinstitute.nkinga@gmail.com
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 29/10/2025