KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Sumbawanga Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini.

Watendaji hao watakaohudhuria mafunzo haya ni Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi Na. 1, Wasimamizi Wasaidizi Na. 2, Makarani Waongozaji Wapiga Kura Pamoja na Watendaji wa akiba (Reserve). Mchanganuo wa Kumbi za Semina na tarehe umeainishwa hapa chini: ·

  • Tarehe 25/10/2025 Mafunzo kwa Makarani Waongozaji Wapiga Kura yatafanyika katika Shule ya Sekondari Sumbawanga kuanzia saa 1:30 asubuhi.
  • Tarehe 26/10/2025 hadi tarehe 27/10/2025 Mafunzo kwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi Na. 1 na Wasimamizi Wasaidizi Na. 2 pamoja na Wasimamizi wa Akiba mafunzo yatafanyika katika mgawanyo wa Kata kama ifuatavyo hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *