KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kilindi anawajulisha Watendaji wote waliofaulu usaili kuhudhuria Semina/Mafunzo kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2025 hadi tarehe 27 Oktoba, 2025 katika Kumbi mbalimbali kama itakavyochanganuliwa hapa chini.
Tags: KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kilindi District Council