NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar

NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar
NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Idara ya Uhamiaji Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa waombaji wa Zanzibar wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Nne (04), kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA