KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026
KUITWA Kazini UTUMISHI 17/03/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-03-2025 na tarehe 20-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
DONWLOAD PDF HAPA
