TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia

TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia
TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses M. Kusiluka, Lukuvi amefariki dunia leo Machi 25, 2026 majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani pamoja na Watanzania wote kufuatia msiba huo mkubwa.

TANZIA William Vangimembe Lukuvi Afariki Dunia