NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Suma JKT

Filed in Ajira by on 06.07.2025 1 Comment
Share This Post
NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Suma JKT

NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Suma JKT

NAFASI Za Mafunzo Chuo Cha Suma JKT

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo cha JKT kinawakaribisha Vijana waliohitimu Elimu ya Kuanzia Darasa la Saba Kujiunga na Mafunzo Mbalimbali yanayotolewa na Chuo hicho yatakayowawezesha kukabiliana na Changamoto za Maisha ya Kila Siku.

Wito huo umetolewa Jumamosi ya Julai 5, 2025 na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT), Kanali Shija Lupi, alipokuwa akizungumza katika maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam (DiTF), maarufu Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Kanali Lupi amesema kuwa JKT kupitia chuo chake cha mafunzo kilichopo Mgulani, kinapokea vijana kuanzia waliohitimu darasa la saba na kuendelea, kwa lengo la kuwapatia stadi za ufundi zitakazowasaidia katika maisha yao ya kila siku.

TAZAMA VIDEO YA MAELEZO ZAIDI HAPA

Share This Post

Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Naomben nafas ya kujiunga na chuo chenu
    Nimehitimu ualim certificate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *