NAFASI Za Kazi Action Against Hunger Tanzania

NAFASI Za Kazi Action Against Hunger Tanzania
NAFASI Za Kazi Action Against Hunger Tanzania
Action Against Hunger ni shirika la kimataifa la kibinadamu lililolenga kumaliza njaa duniani kote.
Nchini Tanzania Action Against Hunger inafanya kazi ya kukabiliana na uhaba wa chakula na utapiamlo, hasa miongoni mwa watoto, kwa kutoa huduma ya maji safi, usafi wa mazingira bora na elimu ya lishe.
Shirika hilo pia linasaidia mifumo ya afya ya ndani na kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ya jamii kutoa huduma muhimu za lishe.
Action Against Hunger linatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Action Against Hunger Tanzania
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
