NAFASI Za Kazi UNICEF Tanzania

Filed in Ajira by on 19.02.2026 0 Comments
Share This Post

NAFASI Za Kazi UNICEF Tanzania

NAFASI Za Kazi UNICEF TanzaniaNAFASI Za Kazi UNICEF Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

UNICEF (United Nations Children’s Fund) au Mfuko wa Kimataifa wa Watoto ni shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto Duniani.

Shirika hilo ambalo Makuu ya UNICEF yapo mjini New York (Marekani) lilianzishwa mwaka 1946 likiitwa “United Nations International Children’s Emergency Fund” kwa nia ya kuwasiadia watoto wa Ulaya waliokumbwa na njaa na magonjwa katika zilizoharibiwa katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Leo UNICEF inashughulika miradi ya kupambana na maradhi miongoni mwa watoto, kuboresha elimu na haki za watoto.

Shirika hilo la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto Tanzania (UNICEF) linatangaza nafasi Mbalimbali Kwa Watanzania wenye nia, ari na sifa stahiki Kuomba nafasi hizo kama zilivyoainishwa hapa chini.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka UNICEF Tanzania

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *