NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania

NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania
NAFASI Za Kazi Hill Group Tanzania
Nafasi: Udereva
Hill Group ni Muunganiko wa Makampuni yaliyosajiliwa kufanya kazi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaliyoanzishwa mwanzoni mwa mwaka 2000 kama duka dogo la agrovet lililopo Mwenge, Dar es Salaam.
Kwa miaka 24 sasa, Hill Group imejijengea heshima kubwa, ukuaji wa haraka, na kutambuliwa kwa jina katika soko la Tanzania.
Makampuni yanayounda Hill Group ni: Salibaba Pellet Company Limited.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

namim naomba nipate ajila kwangu itakua vyema
namimi pia nimeipenda iyo kazi ya kwenye makampuni pia
namimi pia nimeipenda iyo kazi ya kwenye makampuni pia3
it looks as though you a ve already said that
thank you he his are vell good your work is good