MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 19/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 19/07/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 19/07/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasibmbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-02-2025 na tarehe 26-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 18/07/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 17/07/2025
