JINSI ya Kutuma Maombi Samia Scholarship 2025/2026

Filed in Elimu by on 22.07.2025 0 Comments
Share This Post
JINSI ya Kutuma Maombi Samia Scholarship 2025/2026

JINSI ya Kutuma Maombi Samia Scholarship 2025/2026

JINSI ya Kutuma Maombi Samia Scholarship 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza Programu ya Ufadhili iitwayo ‘SAMIA SCHOLARSHIP’ kwa masomo ya shahada ya awali kwa wanafunzi 1,050 na wanafunzi 51 wenye mahitaji maalumu waliopata ufaulu wa juu katika mitihani ya taifa ya kidato cha sita inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, CBG, PGM, CBA, PMC na CBN).

Ufadhili wa ‘SAMIA SCHOLARSHIP’ utagharimia masomo ya Elimu ya Juu kwa wanafunzi hao ambao wameomba au kupata udahili katika fani za Teknolojia, Uhandisi, Hisabati na Tiba kwa kuzingatia ‘Mwongozo’ uliotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ambayo inasimamia utekelezaji wa ‘Scholarship’ hizi.

Mwongozo huo unapatikana www.heslb.go.tz

Kuelekea Ufadhili huo hapa chini tumekuwekea namna ya Kituma Maombi Kwa wale wenye Vigezo Vya Kuomba Samia Scholarship 2025/2026.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI SAMIA SCHOLARSHIP 2025/2026

Maombi ya ‘Samia Scholarship’ yatawasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa njia ya mtandao https://olas.heslb.go.tz kuanzia Julai 28 hadi Agosti 31, 2025.

Wanafunzi wanakaoruhusiwa kuomba ni wale ambao orodha yao imetangazwa hapa.

SIFA NA VIGEZO PAMOJA NA MASHARTI YA UFADHILI WA SAMIA SCHOLARSHIP 2025/2026 SOMA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *