NAFASI Za Kazi Makete District Council

Filed in Ajira by on 26.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Makete District Council

NAFASI Za Kazi Makete District Council

NAFASI Za Kazi Makete District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Kibali cha Ajira mpya chenye Kibali chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 chenye kada ya Dereva Daraja la II nafasi (12) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Ummabna Utawala Bora.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama iliyoainishwa hapo chini.

DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *