MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO

MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO
MABADILIKO ya Tarehe ya Usaili wa Vitendo TASHICO
Haya hapa Mabadiliko ya tarehe ya Usaili wa Vitendo Kutoka Kampuni ya Meli Tanzania.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote wa kada ya MARINE ENGINEER II, DECK OFFICER II, ONBOARD ATTENDANT II, ORDINARY SAILOR II, MOTORMAN II ambazo mwajiri wake ni Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) kuwa kuna mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo.