MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

Filed in Kuitwa Kazini by on 01.08.2025 0 Comments
Share This Post
MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

MAJINA ya Walioitwa Kazini Kituo Cha Zana Za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa
nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2025 na tarehe 05-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

KUITWA KAZINI KITUO CHA ZANA ZA KILIMO NA TEKNOLOJIA VIJIJINI (CAMARTEC) 01-08-2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *