NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)

NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)
NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Wakala wa Serikali ulioanzishwa mwaka 2005 kwaajili ya kutoa huduma za kihandisi katika fani za Umeme, Mitambo na Elektroniki, Ushauri wa Kiufundi na Huduma za Ushauri wa kitaalamu kwenye masuala ya Umeme na Elektroniki, Uendeshaji wa uhakika na usalama wa Vivuko na Ukodishaji wa mitambo ili kusaidia kukuza uchumi wa Tanzania.
Kupitia Ajira Portal, Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) anawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba ajira katika nafasi mbalimbali za kazi zilizoanishwa hapa chini.
-
DIVER II (Nafasi 5)
- ARTISAN II – REFREGERATION AND AIR CONDITIONING (Nafasi 10)
- ARTISAN II – ELECTRONICS (Nafasi 5)
- ARTISAN II – MECHANICAL (Nafasi 15)
- ACCOUNTS ASSISTANT II (Nafasi 10)
- FERRY DECK ASSISTANT II (Nafasi 9)
- PLANT OPERATOR II (Nafasi 1)
- FERRY CAPTAIN II (Nafasi 9)
Kutuma Maombi ya Ajira hizi Tafadhali Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025
Tags: NAFASI Za Kazi Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA)
