NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

Filed in Ajira by on 09.12.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

NAFASI Za Kazi Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 ikiwa ni Idara
inayojitegemea chini ya iliyokuwa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Baada ya Serikali kuridhia kuibadili kutoka kuwa Idara ya Maendeleo ya Ushirika.

Majukumu makuu ya Tume ni kusimamia na kuhamasisha maendeleo ya Ushirika Tanzania Bara.

Kisheria Tume ilianza shughuli zake tarehe 1 Januari 2014, ilipotangazwa kwenye Gazeti la Serikali na Waziri mwenye dhamana ya Ushirika, lakini utekelezaji wa majukumu yake kama
yalivyoainishwa kwenye muundo wa Tume ulianza mwezi Februari 2015 baada ya kupitishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tume ya Mandeleo ya Ushirika Tanzania imepewa mamlaka ya kuwa mwangalizi wa uongozi na utendaji kazi wa Vyama vya Ushirika, ikihakikisha kufuatwa kwa Sheria na Kanuni za Ushirika.

Tume hiyo inawataka Watanzania wenye sifa stahiki kutuma Maombi kwaajili ya nafasi Mbalimbali za Ajira Zilizoanishwa hapa chini.

  1. COOPERATIVE OFFICER GRADE II – MICROFINANCE, BANKING – (Nafasi 9)
  2. COOPERATIVE OFFICER GRADE II – CO-OPERATIVE MANAGEMENT AND ACCOUNTING (Nafasi 17)

Waombaji wote wa Ajira hizi wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.

Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *