MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Biharamulo District Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Biharamulo District Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Biharamulo District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09/09/2025 hadi Tarehe 12/09/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO 01-09-2025
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Biharamulo District Council