KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024

KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024
KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024
Michuano hiyo inayoandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda itafanyika Kuanzia tarehe 02 hadi 30 mwezi August 2025.
Tanzania iko kundi B pamoja na timu za Madagascar, Mauritania, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Aidha Michuano hiyo hujumuisha wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani pekee bila kuchanganya na wakulipwa wanaocheza nje ya nchi.
Hiki hapa nchini ni Kikosi Cha Tanzania kitakachoingia kambini Julai 7, 2025, nchini Misri kujiandaa na michuano hiyo.

KIKOSI cha Tanzania Kitakachoshiriki CHAN 2024