NAFASI Za Kazi Mafinga Town Council

NAFASI Za Kazi Mafinga Town Council
NAFASI Za Kazi Mafinga Town Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025.
Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi
Zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
DOWNLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
