KUITWA Kwenye Usaili NECTA, MDAs & LGAs, TBC, MPRU, DMI, OTR, CBE, TAEC, TPA, TANROADS, TUWASA, TAWA, NBS, NIT, TASAC, IFM, IRDP na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Filed in Usaili by on 24.09.2025 0 Comments
Share This Post

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR), Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), MDAs & LGAs, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA), Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Tume ya Nguvu za AtomuTanzania (TAEC), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Tanzania Shipping Agencies
Corporation (TASAC), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 26/09/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-09-2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 24-09-2025

Share This Post

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *