NAFASI Za Kazi Zambia Cargo and Logistics Limited

NAFASI Za Kazi Zambia Cargo and Logistics Limited
NAFASI Za Kazi Zambia Cargo and Logistics Limited
Zambia Cargo & Logistics Limited zamani (MOFED Tanzania Limited ni mtoa huduma wa Usafirishaji inayomilikiwa kikamilifu na Serikali ya Jamhuri ya Zambia chini ya Wizara ya Uchukuzi, Ujenzi, Ugavi na Mawasiliano mjini Lusaka, Zambia.
Zambia Cargo & Logistics Limited ipo maeneo ya Kurasini karibu na yadi ya Dock jijini Dar es Salaam.
Zambia Cargo & Logistics Limited inatafuta watu wenye nia, ari na Sifa stahiki kujaza nafasi mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF ya Tangazo la Ajira.
Kuona nafasi hizo Pamoja na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF ya Tangazo hapa chini.
DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA
