KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lindi Municipal Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lindi Municipal Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Lindi Mjini na Mchinga anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 07/10/2025 katika Ofisi za Kata walizoombea kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Lindi Municipal Council
