nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

Filed in Ajira by on 03.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ni matokeo ya mabadiliko ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Na.7 (2005) na Chuo Kikuu cha Sayansi Mbeya na Mkataba wa Teknolojia wa 2013. Dira ya Chuo Kikuu ni […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Gairo District Council

Filed in Ajira by on 03.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Gairo District Council

NAFASI Za Kazi Gairo District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Handeni District Council

Filed in Ajira by on 03.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Handeni District Council

NAFASI Za Kazi Handeni District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Handeni anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ishirini na nane (28) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 03/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 03.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 03/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 03/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-01-2025 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 02 January 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 02.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 02 January 2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 02 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-04-2025 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa […]

Continue Reading »

MALIPO na Posho Mpya Za Wanaojitolea 2026

Filed in Makala by on 02.01.2026 0 Comments
MALIPO na Posho Mpya Za Wanaojitolea 2026

MALIPO na Posho Mpya Za Wanaojitolea 2026 Serikali imeweka utaratibu wa kusimamia malipo na posho kwa Vijana wa Kujitolea wanaofanya kazi ndani ya Taasisi za Umma, kwa lengo la kuhakikisha wanapata msaada wa kujikimu wakati wa kipindi cha kujitolea na kuepusha migogoro ya kiutawala. Utumiaji wa vijana wa kujitolea ndani ya Taasisi za Umma utahusisha […]

Continue Reading »

MWONGOZO wa kujitolea katika Utumishi wa Umma

Filed in Makala by on 02.01.2026 0 Comments
MWONGOZO wa kujitolea katika Utumishi wa Umma

MWONGOZO wa kujitolea katika Utumishi wa Umma Mwongozo wa kujitolea katika Utumishi wa Umma ni nyenzo muhimu inayoweka utaratibu wa kuzingatiwa kwa Taasisi za Umma na Vijana wanaomaliza Vyuo na kuomba nafasi za kujitolea ili kujipatia ujuzi na uzoefu wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na Serikali wakati wanasubiri kuajiriwa. Kwa kipindi chote kumekuwepo na utaratibu usio […]

Continue Reading »

RATIBA ya 16 Bora AFCON 2025

Filed in Michezo by on 01.01.2026 0 Comments
RATIBA ya 16 Bora AFCON 2025

RATIBA ya 16 Bora AFCON 2025 Hii hapa ratiba ya michezo ya hatua ya 16 Bora AFCON 2025 03 January 2026 19:00 Senegal vs Sudan 22:00 Mali vs Tunisia 04 January 2026 19:00 Morocco vs Tanzania 22:00 Afrika Kusini vs Cameroon 05 January 2026 19:00 Eggpy vs Benin 22:00 Nigeria vs Mozambique 06 January 2026 […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilwa District Council

Filed in Ajira by on 01.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilwa District Council

NAFASI Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025

Filed in Magazetini Leo by on 31.12.2025 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 31/12/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati yatarehe 09-11-2024 na tarehe 24-10-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) […]

Continue Reading »