nijuze's Latest Posts

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE)

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE)

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha Elimu (DUCE) ni Chuo Maalumu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilichoanzishwa mwaka 2005. Kazi kuu za Chuo, kama zilizoainishwa katika Mkataba na Kanuni za 2010, ni kutoa mafundisho jumuishi, utafiti na utumishi wa umma. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kilindi District Council

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kilindi District Council

NAFASI Za Kazi Kilindi District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Kilindi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (06) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DOWNLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 08/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 08.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 08/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 08/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2025 na tarehe 21-11-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

Filed in Ajira by on 08.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya anapenda kuwatangazia Watanzania Wote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imekusudia kuajiri Watumishi wa Mkataba wa kazi ya Muda ya Afisa Muuguzi Msaidizi /Tabibu Daraja la Il aliyesomea mafunzo ya Mwaka mmoja (1) ya (Anaesthesia) ambao watafanya kazi katika Halmashauri ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kazini UTUMISHI 05/01/2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 05.01.2026 0 Comments
KUITWA Kazini UTUMISHI 05/01/2026

KUITWA Kazini UTUMISHI 05/01/2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 18-12-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Kigoma District Council

Filed in Ajira by on 05.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Kigoma District Council

NAFASI Za Kazi Kigoma District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi sita (6) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TAEC Tanzania

Filed in Ajira by on 05.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi TAEC Tanzania

NAFASI Za Kazi TAEC Tanzania Kwa niaba ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa na sifa zinazofaa kujaza nafasi nane (8) zilizo wazi kama Zilivyoainishwa kwenye Tangazo hili hapa chini. Tume ya […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

Filed in Usaili by on 05.01.2026 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii

KUITWA Kwenye Usaili Wizara ya Maliasili na Utalii Katibu mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba Nafasi ya kazi ya “Sustainable Food Systems Specialist in the Rice Sector Development” na “Gender and Safe Guard Specialist” za Mradi wa “Mifumo ya Chakula, Matumizi ya Ardhi na Urejeshaji wa Mandhari katika Maeneo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar

Filed in Ajira by on 05.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar

NAFASI Za Kazi Idara ya Uhamiaji Zanzibar Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Idara ya Uhamiaji Tanzania anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa waombaji wa Zanzibar wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Nne (04), kama ilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Babati Town Council

Filed in Ajira by on 03.01.2026 0 Comments
NAFASI Za Kazi Babati Town Council

NAFASI Za Kazi Babati Town Council Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »