nijuze's Latest Posts

KIKOSI Cha Yanga SC vs Coastal Unions 07 December 2025

Filed in Michezo by on 07.12.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga SC vs Coastal Unions 07 December 2025

KIKOSI Cha Yanga SC vs Coastal Unions 07 December 2025 Young Africans itacheza mchezo wake unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union FC Leo tarehe 7 December 2025 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Kuanzia Saa 1:00 Usiku. Hiki hapa ni Kikosi Cha Young Africans kinachoanza dhidi ya Coastal Union FC.

Continue Reading »

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

Filed in Michezo by on 07.12.2025 0 Comments
MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

FUATILIA hapa Update zote za Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC Leo tarehe 7 December 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam. 01′ Simba SC 0 – 0 Azam FC (LIVE from Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam) 02′ Simba SC 0 – 0 […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba SC vs Azam FC 07 December 2025

Filed in Michezo by on 07.12.2025 0 Comments
KIKOSI Cha Simba SC vs Azam FC 07 December 2025

KIKOSI Cha Simba SC vs Azam FC 07 December 2025 Simba SC vs Azam FC ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata ambao utachezwa Leo tarehe 7 December 2025. Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 11:00 Jioni. Kuelekea mchezo huo hiki hapa ni Kikosi Cha Simba […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 07.12.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025 Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yasiyo na kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia December 09, 2025 kwakuwa maandamano hayo hayana sifa na hayakubaliki Kisheria. Akiongea Disemba 05, 2025 Msemaji wa Polisi, David Misime amesema kuwa “Maandamano hayo yanayopewa jina la maandamano ya amani na yasiyo na kikomo yamekosa […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025

Filed in Elimu by on 06.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025

MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025 Watanihiniwa 50,769 sawa na asilimia 96.94 wamefaulu katika mtihani wa kidato cha saba mwaka 2025 ambapo ufaulu huo umepanda kwa asilimia 0.28 ikilinganishwa na mwaka 2024 ambapo asilimia ya ufaulu ilikuwa 96.66. Pia, Ufaulu wa chini umepungua kwa asilimia 0.28 ikilinganishwa na ufaulu wa 3.34 mwaka 2024, ufaulu […]

Continue Reading »

VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026

Filed in Ajira, Elimu by on 06.12.2025 0 Comments
VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026

VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imeingia makubaliano na vyuo 46 vinavyotoa mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimesajiliwa na Mamlaka husika kutoa mafunzo katika fani mbalimbali zikijumuisha ubunifu wa mitindo na ushonaji nguo, ufundi bomba, uashi, useremala, uchomeleaji na uungaji vyuma, upakaji […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Maafisa Ugani Mradi wa FOLUR Mlimba District Council

Filed in Usaili by on 06.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Maafisa Ugani Mradi wa FOLUR Mlimba District Council

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Maafisa Ugani Mradi wa FOLUR Mlimba District Council Haya hapa matokeo ya usaili wa maandishi kwa nafasi ya maafisa ugani wa mradi wa FOLUR. Usaili wa ana kwa ana (oral interview) kwa waliofaulu usaili wa maandishi (written interview) utafanyika Jumapili, tarehe 07.12.2025, saa moja kamili asubuhi, kwenye Ofisi ya Mkurugenzi […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi FINCA Microfinance Bank

Filed in Ajira by on 06.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi FINCA Microfinance Bank

NAFASI Za Kazi FINCA Microfinance Bank FINCA Microfinance Bank Limited Tanzania ni Bank inayowawezesha wateja kwa kutoa bidhaa, huduma na elimu wanayohitaji zaidi ili kuboresha hali yao ya maisha, kujenga afya ya kifedha na ustahimilivu, na kuwaweka watoto wao shuleni. FINCA iliunda Benki yake ya kwanza ya Kijiji huko Mwanza mwaka 1998, na kuleta mfano […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Tanga Cement

Filed in Ajira by on 06.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Tanga Cement

NAFASI Za Kazi Tanga Cement ✅Position: Depot Administrator Specific Knowledge: Knowledge on Logistics Main Duties Responsible for receiving, organising and monitoring cement stocks. Receive and issue cement Physical placement of cement Service Management Ensure orders are loaded in good time. Ensure OSHA compliance as per company and statutory requirements. Observe relevant environmental policies and regulations […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania

Filed in Ajira by on 06.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania

NAFASI Za Kazi TOSCI Tanzania Taasisi Rasmi ya Uthibitishaji wa Mbegu Tanzania (TOSCI) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Kilimo (MoA) iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Mbegu SURA 308. TOSCI ina jukumu la kuthibitisha, kudhibiti ubora na kukuza mbegu bora za kilimo zinazozalishwa au kuingizwa nchini kwaajili ya kuuzwa. Pia imepewa dhamana ya […]

Continue Reading »