Ajira

NAFASI 9 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara – Ligula

Filed in Ajira by on 23.08.2025 0 Comments
NAFASI 9 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara – Ligula

NAFASI 9 Za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara – Ligula Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mtwara – Ligula anakaribisha maombi ya kazi za kuijitolea kwa kada mbalimbali kama ilivyoahinishwa hapo chini:- ✅AFISA HABARI DARAJA LA II – NAFASI 1 SIFA ZA MWOMBAJI Awe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Survival Hospital

Filed in Ajira by on 22.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Survival Hospital

NAFASI Za Kazi Survival Hospital Hospitali ya Survival ni Hospitali binafsi iliyosajiliwa rasmi kwa ngazi ya Wilaya kwa mujibu wa Masharti ya Sheria ya Hospitali Binafsi (Kanuni) Sura ya 151, kwa namba ya usajili 12151. Survival Hospital Ipo Rushe, Mabira, katika Wilaya ya Kyerwa, Mkoani Kagera. Hospitali hii imezindua idara zote kuu za utoaji huduma […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania

Filed in Ajira by on 21.08.2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania

NAFASI Za Kazi Reuna Group Vikindu Tanzania Reuna Group ni kampuni inayokua kwa kasi katika sekta ya usindikaji na usambazaji wa dagaa, iliyoko Vikindu, Wilaya ya Mkuranga, Tanzania. Ikiwa wewe ni mtu makini, mwenye mwelekeo wa matokeo, na mtu mwenye ujuzi na ufahamu mkubwa wa mikakati basi hii nafasi yako Kujiunga na Kampuni hii. Reuna […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Shinyanga District Council

Filed in Ajira by on 21.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Shinyanga District Council

NAFASI Za Kazi Shinyanga District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja La II (Nafasi 04) na Dereva Daraja la II (Nafasi 10) za ajira ya masharti ya kudumu, Baada ya kupata idhini ya kutangaza […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi D.Light Tanzania

Filed in Ajira by on 21.08.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi D.Light Tanzania

NAFASI Za Kazi D.Light Tanzania D.light hufanya nishati ya jua inayotegemewa na nafuu kupatikana kwa familia zenye kipato cha chini duniani kote. Wateja wetu wengi wanaishi bila kupata umeme au huduma za kifedha kila mara. Kwa kuziba mapengo haya, d.light huwezesha jamii na suluhu zinazotegemewa za nishati ya jua, vifaa muhimu na simu mahiri. Mnamo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Benjamin William Mkapa Foundation (BMF)

Filed in Ajira by on 21.08.2025 5 Comments
NAFASI Za Kazi Benjamin William Mkapa Foundation (BMF)

NAFASI Za Kazi Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) ni Taasisi isiyo iliyoanzishwa mwaka 2006 ikiwa na maono kuelekea maisha yenye afya na ustawi kwa wote nchini Tanzania na bara zima la Afrika. Dhamira yake ya kimkakati ni kuchangia kuelekea kupata matokeo bora ya afya kupitia ubunifu wa masuluhisho ya mfumo […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd

Filed in Ajira by on 21.08.2025 1 Comment
NAFASI Za Kazi VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd

NAFASI Za Kazi VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) iliyokuwa ikijulikana kama SEDA ni Benki inayokua kwa kasi na yenye sifa nzuri ya Micro Finance Bank (MFB) Benki hiyo inakuza mazingira ya kazi tulivu na yenye usawa ambapo wafanyakazi wanathaminiwa sana, kazi nzuri inatambuliwa na kutuzwa, na kuna fursa […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi TECIC Tanzania Limited

Filed in Ajira by on 20.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi TECIC Tanzania Limited

NAFASI Za Kazi TECIC Tanzania Limited ✅Position: Graduate program-Fiber Network Engineer Who can apply: To be eligible to apply, you must have earned your bachelor’s degree in  telecommunication Engineering, Computer Network Engineering, Information Technology  Computer Systems Engineering. To thrive in this program, you should bring the following attributes: Technical Foundation Curiosity and Learning Problem-Solving Abilities […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Ilasi Hospital

Filed in Ajira by on 20.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Ilasi Hospital

NAFASI Za Kazi Ilasi Hospital Hospitali ya Ilasi iliyoko Mbozi, Songwe Mkoani Mbeya inatangaza nafasi Za Kazi Kwa Watanzania wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki. Kuona Ajira hizo tafadhali bonyeza hapa chini Kudownload PDF ya Tangazo. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

Filed in Ajira by on 20.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council

NAFASI Za Kazi Wanging’ombe District Council Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe kupitia Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 chenye kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II nafasi 4, Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II nafasi 5 Dereva Daraja la II nafasi (13) na Muhudumu wa Boti nafasi 1 kutoka kwa Katibu […]

Continue Reading »