Elimu

MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025

Filed in Elimu by on 06.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025

MATOKEO ya Darasa la Saba Zanzibar 2025 Watanihiniwa 50,769 sawa na asilimia 96.94 wamefaulu katika mtihani wa kidato cha saba mwaka 2025 ambapo ufaulu huo umepanda kwa asilimia 0.28 ikilinganishwa na mwaka 2024 ambapo asilimia ya ufaulu ilikuwa 96.66. Pia, Ufaulu wa chini umepungua kwa asilimia 0.28 ikilinganishwa na ufaulu wa 3.34 mwaka 2024, ufaulu […]

Continue Reading »

VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026

Filed in Ajira, Elimu by on 06.12.2025 0 Comments
VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026

VYUO 46 Vilivyokubaliwa na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025/2026 Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imeingia makubaliano na vyuo 46 vinavyotoa mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimesajiliwa na Mamlaka husika kutoa mafunzo katika fani mbalimbali zikijumuisha ubunifu wa mitindo na ushonaji nguo, ufundi bomba, uashi, useremala, uchomeleaji na uungaji vyuma, upakaji […]

Continue Reading »

NAFASI 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Fani mbalimbali

Filed in Ajira, Elimu by on 05.12.2025 0 Comments
NAFASI 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Fani mbalimbali

NAFASI 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi katika Fani mbalimbali Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano inatekeleza Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi inayolenga kuwezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. Ofisi imeingia makubaliano na vyuo 46 vinavyotoa mafunzo ya […]

Continue Reading »

FOMU Za Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza 2026

Filed in Elimu by on 05.12.2025 0 Comments
FOMU Za Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza 2026

FOMU Za Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza 2026,  Form One Joining Application Form Academic Year 2026 Maelekezo ya Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2026, Maagizo ya Kujiunga na Shule ni hati rasmi zinazotolewa kwa wanafunzi ambao wamechaguliwa au waliokubaliwa katika shule husika. Maagizo haya yanaeleza kila kitu ambacho mwanafunzi lazima ajue na kutayarisha kabla ya […]

Continue Reading »

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026

Filed in Elimu by on 05.12.2025 0 Comments
WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026

WALIOCHAGULIWA Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2026 Serikali ya Tanzania imesema kuwa, kila mtahiniwa aliyefanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka, 2025 na kupata jumla ya alama za ufaulu kati ya 121 hadi 300 amechaguliwa na kupangiwa shule ya Serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa […]

Continue Reading »

WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026

Filed in Elimu by on 02.12.2025 0 Comments
WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026

WANAFUNZI 21851 Waliopewa Mikopo awamu ya tatu 2025/2026 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) (Jumatatu, Disemba 01, 2025) imetangaza awamu ya tatu ya upangaji mikopo na ruzuku kwa mwaka 2025/2026 yenye jumla ya wanafunzi 21,851. Idadi hii inajumuisha mikopo iliyopangwa katika Dirisha la Rufaa na waombaji wapya wanaoendelea na masomo kama […]

Continue Reading »

KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026

Filed in Elimu by on 22.11.2025 0 Comments
KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026

KALENDA ya Mihula ya Masomo Shule Za Awali, Msingi na Sekondari 2026 Yah: WARAKA WA ELIMU NA 06 WA MWAKA 2025 KUHUSU KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2026 Kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na idadi sahihi ya siku za masomo kwa mwaka kama mitaala inavyoelekeza, Wizara ya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan

Filed in Elimu by on 12.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo na Tafiti  Ubalozi wa Tanzania nchini Japan FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan, zinazotolewa na Serikali ya Japan na wadau wengine wa […]

Continue Reading »

MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma

Filed in Elimu by on 11.11.2025 0 Comments
MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma

MKATABA wa Ufadhili wa Mtumishi Kuhudhuria Masomo ya Kujiendeleza Kitaaluma Mkataba huu utatumika endapo Mfadhiliwa atahudhuria masomo kwa kozi ya muda wa zaidi ya miezi tisa kwa kufadhiliwa gharama zote au sehemu ya gharama za mafunzo na Serikali. Mfadhiliwa anayeenda kusoma kozi (za aina yoyote) za muda mrefu za elimu ya juu ndani na nje […]

Continue Reading »