Elimu

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026

Filed in Elimu by on 18.01.2026 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 Baraza la Mtihani la Taifa (NECTA) limetangaza ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2026. Katika tangazo la ratiba la NECTA, mtihani huo utaanza Jumatatu ya tarehe 4 na kumalizika Jumatatu ya tarehe 25 May 2026. Ratiba Kamili ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 imeambatanishwa hapa […]

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

Filed in Elimu, Michezo by on 15.01.2026 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kupitia Mradi wa YEFFA TANGAZO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MFUPI KUPITIA MRADI YEFFA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Nne 2025

Filed in Elimu by on 10.01.2026 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Nne 2025

MATOKEO ya Darasa la Nne 2025 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) Leo tarehe 10 January 2026. Upimaji huu uliofanyika mwezi Oktoba 2025 ni kipimo muhimu cha kuangalia uwezo wa mwanafunzi katika stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kabla hajaingia darasa la […]

Continue Reading »

FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

Filed in Elimu by on 28.12.2025 0 Comments
FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026

FOMU Za Maelezo Ya Kujiunga na VETA 2026 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula ulioanza Januari, 2026 Awamu ya Pili (Second Selection) umekamilika. Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni kabla ya tarehe 24 […]

Continue Reading »

MFUMO wa Maombi ya Kujiunga VETA (VETMIS)

Filed in Elimu by on 19.12.2025 0 Comments
MFUMO wa Maombi ya Kujiunga VETA (VETMIS)

MFUMO wa Maombi ya Kujiunga VETA (VETMIS) MWONGOZO WA NAMNA YA KUOMBA MAFUNZO YA MUDA MREFU KWA VYUO VYA VETA 2026 KUPITIA MFUMO WA MAOMBI WA VETMIS Hatua ya 1: Fungua Kiungo cha Maombi Bonyeza kiungo hiki: https://vetmis.veta.go.tz/fdc Hatua ya 2: Anza Maombi: Ukurasa wa mwanzo (Welcome Page) utafunguka, Bonyeza “Apply” chini ya sehemu ya […]

Continue Reading »

FURSA Za Mafunzo ya Ufundi Stadi ya Muda Mfupi – VETA (YEFFA)

Filed in Elimu by on 19.12.2025 0 Comments
FURSA Za Mafunzo ya Ufundi Stadi ya Muda Mfupi – VETA (YEFFA)

FURSA Za Mafunzo ya Ufundi Stadi ya Muda Mfupi – VETA (YEFFA) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeingia makubaliano ya ushirikiano na taasisi za AMSHA, RUATI, TAMA na MIBOS kupitia Mradi wa Ujasiriamali wa Vijana kwa Mustakabali wa Chakula na Kilimo (Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture -YEFFA). […]

Continue Reading »

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

Filed in Elimu by on 19.12.2025 0 Comments
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula unaoanza Januari, 2026 umekamilika kwa awamu ya kwanza. Awamu ya pili ya waliochaguliwa itatangazwa kuanzia 23 Desemba, 2025. […]

Continue Reading »

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Shahada Za Uzamili nchini Sweden 2025/2026

Filed in Elimu by on 15.12.2025 0 Comments
NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Shahada Za Uzamili nchini Sweden 2025/2026

NAFASI Za Ufadhili wa Masomo Shahada Za Uzamili nchini Sweden 2025/2026 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja […]

Continue Reading »

MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima

Filed in Elimu by on 11.12.2025 0 Comments
MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima

MTAALA Mpya wa Elimu Waanza Rasmi Kidato Cha Nne ni lazima Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda ametangaza mabadiliko ya mtaala mpya wa elimu ambapo amesema kuwa kwa sasa tunaondokana na mtaala wa sasa wa ‘7+4+2+3+’ na kwenda kwenye mtaala mpya wa ‘6+4+2 au 3+3+’ ambao elimu ya msingi itaishia darasa la sita huku elimu […]

Continue Reading »

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Filed in Elimu by on 10.12.2025 0 Comments
Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026

Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2026 Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati – Selform, Form Five Selection 2026. Uchaguzi wa Wanafunzi Kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya […]

Continue Reading »