Kuitwa Kazini

MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 27.06.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council

MAJINA ya Walioitwa Kazini Muheza District Council Kutokana na Tangazo la nafasi za kazi lenye Kumb. Na. HW/MUH/ Kumb.Na.C/A.3/10/5 la tarehe 24/06/2025 la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Ukusanyaji wa Ushuru wa Mazao Stendi na Vizimba uliofanyika tarehe 26/06/2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Muheza anawatangazia […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini Tanganyika District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.06.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Tanganyika District Council

MAJINA ya Walioitwa Kazini Tanganyika District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anapenda kuwatangazia waliofanya Usaili tarehe 04-05.06.2025 kwamba waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kazini siku ya Jumatatu tarehe 30.06.2025. Walioitwa waripoti kazini katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo katika Kijiji cha Majalila Kata ya Tongwe. Mambo ya kuzingatia: – Wanatakiwa kuja na […]

Continue Reading »