Magazetini Leo

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 20 October 2025 Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, umezikwa kwa heshima ya kitaifa nyumbani kwake Kang’oka Jaramogi, Bondo, Kaunti ya Siaya. Baada ya ibada maalumu iliyofanyika katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga University mwili wa Raila ulipelekwa nyumbani kwake kwa mazishi ya kifamilia yaliyofanyika […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 12 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 12.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 12 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 12 October 2025 Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kocha mpya wa makipa, Vitomir Vutov (53), raia wa Bulgaria. Vutov anajiunga na benchi la ufundi linaloongozwa na Dimitar Pantev pamoja na msaidizi wake Byoko Kamenov, wote wakiwa raia wa Bulgaria. Kocha huyo mpya tayari ameanza rasmi kazi ya kuwanoa makipa wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 11 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 11.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 11 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 11 October 2025 Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amesema yeye ni mzima wa afya: “Sina hata kichomi, wanaoniombea mabaya watatangulia wao mimi nitakuja kushiriki mazishi.” Kikwete ambaye alikuwa Rais wa Tanzania (2005-2015) amesema hayo Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 10 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 10.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 10 October 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 10 October 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Chimaguli Majiyangui Samamba mwenye Umri wa miaka 54 Mkulima na Mkazi wa Ugede Songambele kwa tuhuma za kumuua Mke wake kwa sababu ya kuchelewa kurudi nyumbani. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinganga imesema kuwa October 8, 2025 majira […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 09 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 09.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 09 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 09 October 2025 Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya Vilabu vya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2025-2029 ambapo uteuzi huo unamfanya kuwa Mtu wa kwanza kutoka Afrika Mashariki na kati […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 05.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutahadharisha umma kuhusu uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuchochea mijadala inayolenga kulihusisha jeshi hilo katika masuala ya kisiasa, likisisitiza kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba. Taarifa iliyotolewa Jumamosi, Oktoba 4, 2025 jijini Dodoma […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 04 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 04.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 04 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 04 September 2025

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 03.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 04 October 2025 Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) kupitia Pori la Akiba la Kijereshi, imefanikiwa kuwaua fisi 17 katika Kata ya Shigala, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, kufuatia operesheni maalumu inayoendelea ya kuwasaka wanyama hao waharibifu. Operesheni hiyo imechochewa na matukio ya mara kwa mara ya fisi kuvamia makazi ya wananchi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 02.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 02 October 2025 Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemuhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, bila ya yeye kuwepo Mahakamani. Hukumu hiyo imetolewa Jumanne na Mahakama ya Kijeshi ya DRC kutokana na mashitaka yaliyofunguliwa dhidi ya Kabila kwenye mahakama hiyo Julai 25, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.10.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 01 October 2025 Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Sophia Mwenda (64) na mwanaye wa kiume Alphonce Magombola (39) kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanafamilia huyo. Sophia na mwanaye wanadaiwa kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake […]

Continue Reading »