MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 05.10.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 05 September 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutahadharisha umma kuhusu uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuchochea mijadala inayolenga kulihusisha jeshi hilo katika masuala ya kisiasa, likisisitiza kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba.

Taarifa iliyotolewa Jumamosi, Oktoba 4, 2025 jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa jeshi hilo, Kanali Bernard Mlunga, imeeleza kuwa kumekuwepo na maudhui yanayoenezwa mtandaoni yanayojaribu kulihusisha JWTZ na masuala ya siasa, jambo linalokwenda kinyume na misingi ya kitaaluma ya kijeshi na Katiba ya nchi.

“Baadhi ya watu wanaotoa hoja hizo ni wale waliowahi kuwa wanajeshi na kuachishwa kazi kwa mwenendo usioridhisha, pamoja na wengine wanaojitambulisha kama wanaharakati au watu walioko katika mazingira ya kijeshi.

“JWTZ linautaarifu umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utii na uhodari, kwa kuzingatia kiapo chetu,” amesema Kanali Mlunga.

Aidha, jeshi hilo limewakumbusha wananchi kuwa JWTZ litaendelea kuwa jeshi la kitaifa lisiloegemea upande wa kisiasa, likitekeleza wajibu wake wa kulinda uhuru, mipaka na amani ya Tanzania kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *