Usaili

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025

Filed in Usaili by on 21.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA 20/12/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA)

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Somo la Baiolojia 14/12/2025

Filed in Usaili by on 15.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Somo la Baiolojia 14/12/2025

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Somo la Baiolojia 14/12/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA IIIC (BAIOLOJIA)

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa kuandika Mwalimu Daraja la III B na C Somo la Kemia 13/12/2025

Filed in Usaili by on 14.12.2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa kuandika Mwalimu Daraja la III B na C Somo la Kemia 13/12/2025

MATOKEO ya Usaili wa kuandika Mwalimu Daraja la III B na C Somo la Kemia 13/12/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MWALIMU DARAJA LA III B (KEMIA) (1) MWALIMU DARAJA LA IIIC (KEMIA)

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Bunge Ofisi ya Bunge

Filed in Usaili by on 13.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Bunge Ofisi ya Bunge

KUITWA Kwenye Usaili Bunge Ofisi ya Bunge Katibu wa Bunge Ofisi ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

Filed in Usaili by on 13.12.2025 0 Comments
MASWALI ya Usaili Ajira Za Zimamoto na Uokoaji

MASWALI ya Usaili Ajira Za Zimamoto na Uokoaji Kupitia Makala hii, utaweza kujifunza baadhi ya maswali na majibu ya kawaida yanayoweza kuulizwa kwenye usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Maswali haya yanakuja baada ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuwatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa […]

Continue Reading »

USAILI Nafasi 12000 Za Walimu na Afya Kufanyika Leo 13 December 2025

Filed in Usaili by on 13.12.2025 0 Comments
USAILI Nafasi 12000 Za Walimu na Afya Kufanyika Leo 13 December 2025

USAILI Nafasi 12000 Za Walimu na Afya Kufanyika Leo 13 December 2025 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema katika mwaka wa fedha 2025/26 serikali imefanikiwa kutoa vibali vya ajira 41,500 ikiwemo nafasi 12,000 ambako waombaji wenye sifa wameitwa kufanyiwa usaili utakaoanza kesho Disemba 13, […]

Continue Reading »

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Filed in Usaili by on 12.12.2025 0 Comments
KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

KUITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ajira.zimamoto.go.tz. kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 hadi tarehe 20 Disemba, 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi kama ifuatavyo. Orodha ya […]

Continue Reading »

VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025

Filed in Usaili by on 11.12.2025 0 Comments
VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025

VITUO Vya Usaili wa Mahojiano Kuanza tarehe 15 hadi 23 Disemba 2025 Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wanapaswa kuzingatia vituo vya usaili vilivyoainishwa kwenye kiambatisho hapo  chini. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi vya kitaaluma,cheti cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho. VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO MIKOANI

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu

Filed in Usaili by on 10.12.2025 0 Comments
MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira Mpya za Walimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Kupitia Makala hii hapa chini ni baadhi ya maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Continue Reading »

MWONGOZO wa Kujiandaa na Usaili wa Oral Ajira Za Serikalini

Filed in Usaili by on 09.12.2025 0 Comments
MWONGOZO wa Kujiandaa na Usaili wa Oral Ajira Za Serikalini

MWONGOZO wa Kujiandaa na Usaili wa Oral Ajira Za Serikalini Mwongozo huu umeandaliwa ili kumsaidia mwombaji wa ajira kujiandaa kwa usaili wa ana kwa ana (oral interview), hususan wale walioitwa na MDAs na LGAs. Lengo ni kuhakikisha mwombaji anajitayarisha kwa ufanisi, kwa uelewa wa taratibu, na kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma. Mambo ya […]

Continue Reading »