Tag: MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 28.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 28 June 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeweka wazi ratiba ya michezo ya fainali za CHAN 2024, ambapo wenyeji Tanzania watafungua michuano hiyo kwa kuikabili Burkina Faso Uwanja wa Benjamim Mkapa Agosti 02, saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Tanzania ipo Kundi B sambamba na timu za […]

Continue Reading »