Tag: MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 01.09.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 01 September 2025 Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko eneo la Kichemuchemu, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jumapili Agosti 31, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase amesema tukio hilo limetokea saa moja asubuhi. […]

Continue Reading »