Tag: MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

Filed in Magazetini Leo, Michezo by on 30.06.2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025 Kiungo wa Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma ametangaza kuondoka Klabuni hapo ikionekana kuwa mpango wa kuongeza mkataba mpya umeshindikana. Mkataba wa Ngoma aliyejiunga na Simba, Julai 2023 akitokea Al Hilal ya Sudan, unafikia tamati mwezi ujao. Kutokana na hilo, Ngoma ametumia ukurasa wake wa Instagram kuiaga Simba. Kupitia […]

Continue Reading »