Tag: MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 20.07.2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025, Kuitwa Kazini Waombaji wa Nafasi ya Ajira ya Mkataba wa Maafisa Lishe. Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji kazi ya Mkataba wa Afisa Lishe ambao walifanya usaili tarehe 08-07-2025 kuwa majina ya waombaji walioshinda usaili huo yameoorodheshwa hapa chini. Aidha, walioshinda usaili huo, wanatakiwa kuriporti OR-TAMISEMI, […]

Continue Reading »