MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini TAMISEMI July 2025, Kuitwa Kazini Waombaji wa Nafasi ya Ajira ya Mkataba wa Maafisa Lishe.
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwataarifu waombaji kazi ya Mkataba wa Afisa Lishe ambao walifanya usaili tarehe 08-07-2025 kuwa majina ya waombaji walioshinda usaili huo yameoorodheshwa hapa chini.
Aidha, walioshinda usaili huo, wanatakiwa kuriporti OR-TAMISEMI, Dodoma tarehe 22.07.2025 kwaajili ya kukamilisha taratibu za ajira yao ikiwa ni pamoja na kuchukua barua za kupangwa kituo cha kazi, tafadhali fika na vyeti halisi. (Originals Certificates).
Aidha, kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
