Tag: NAFASI 30 Za Kazi TANROADS Morogoro

NAFASI 30 Za Kazi TANROADS Morogoro

Filed in Ajira by on 11.07.2025 0 Comments
NAFASI 30 Za Kazi TANROADS Morogoro

NAFASI 30 Za Kazi TANROADS Morogoro Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro kwa niaba ya Mtendaji Mkuu TANROADS anatafuta watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zilizoachwa wazi kwa miradi ifuatayo. 1. Ujenzi wa Kidatu- Ifakara-Lupiro-Malinyi Kilosa Kwa Mpepo-Londo- Lumecha/Songea (484KM) kwa kiwango cha lami chini ya Usanifu na Ujenzi; Sehemu ya 1: Ifakara-Lupiro-Mtimbira […]

Continue Reading »