Tag: NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia

NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia

Filed in Ajira by on 31.03.2026 0 Comments
NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia

NAFASI 300 Za Wauguzi nchini Saudi Arabia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na kampuni ya “Dalba Consulting Group” inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 300 za Uuguzi zilizotolewa na Wizara ya Afya ya nchini Saudi Arabia kama ilivyoelezwa katika jedwali hapa chini: […]

Continue Reading »