Tag: NAFASI Za Arusha Co-operative Union Limited

NAFASI Za Arusha Co-operative Union Limited

Filed in Ajira by on 01.08.2025 0 Comments
NAFASI Za Arusha Co-operative Union Limited

NAFASI Za Arusha Co-operative Union Limited Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Arusha (ACU Ltd) kinatangaza nafasi mbili (2) za AFISA KILIMO MSAIDIZI. KAZI ZA AFISA UGANI Kuanzisha na kusimamia mashamba ya mfano. Kukusanya takwimu mbalimbali za kilimo Kusimamia Vyama vya Msingi katika kuandaa mashamba ya Chama. Kutoa mafunzo kwa Wakulima kuhusu mbinu bora za […]

Continue Reading »