Tag: NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council

Filed in Ajira by on 11.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang’hwale District Council Katibu wa Kampuni ya NDC anawatangazia Wananchi wote nafasi za kazi za muda katika Kiwanda cha Nishati Mbadala kilichopo Kata ya Kharumwa Wilaya ya Nyang’hwale Hivyo, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi kama zilivyoainishwa Kwenye PDF hapa Chini. DONWLOAD PDF HAPA

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

Filed in Ajira by on 06.11.2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyang`hwale anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini. Nafasi 4 Mpya Za Kazi Kutoka […]

Continue Reading »