NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council

NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council
NAFASI Za Kazi Nyang`hwale District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyang`hwale anawatangazia
Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
Nafasi 4 Mpya Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nyang`hwale November 2025.
DOWNLOAD PDF HAPA