Tag: WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

Filed in Usaili by on 05.07.2025 0 Comments
WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025

WALIOITWA kwenye Usaili TAMISEMI July 2025 Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji waliowasilisha maombi ya ajira ya Mkataba wa nafasi ya Afisa Lishe mwezi Mei, 2025 kuwa mchakato wa uchambuzi umekamilika. Hivyo waombaji wote waliokidhi vigezo wanatakiwa kushiriki katika usaili (Oral interview) kwa njia ya mtandao […]

Continue Reading »