Tag: YANGA Kumsajili Mohammed Doumbia

YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

Filed in Michezo by on 25.06.2025 0 Comments
YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia

YANGA Yamsajili Mohammed Doumbia Klabu ya Young Africans imetajwa kukamilisha usajili wa kiungo hatari wa Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech, Mohamed Doumbia raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 26. Kutokana na kuhitaji kuimarisha kikosi chao kwa msimu ujao wa 2025/2026 Klabu hiyo imemsainisha Mohamed Doumbia mkataba wa miaka miwili. Nyota huyo ambaye […]

Continue Reading »