MABADILIKO ya Eneo la Usaili Kyela District Council

MABADILIKO ya Eneo la Usaili Kyela District Council
MABADILIKO ya Eneo la Usaili Kyela District Council
Wasailiwa wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Msaidizi wa Maendeleo ya Jamii Daraja la II mnajulishwa kuwa eneo la usaili limebadilishwa kutoka ukumbi wa Bomani kwenda Shule ya sekondari Kyela.
MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI