WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) 2025/2026

Filed in Elimu by on 26.06.2025 0 Comments
Share This Post
WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) 2025/2026

WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) 2025/2026

WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha Ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA) – October Intake Katika Ngazi ya Diploma ya Miaka Mitatu Kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 Katika Kampasi Zake Za Arusha na Babati.

Wanachuo wafuatao wamechaguliwa kujiunga na masomo katika ngazi ya Diploma ya miaka mitatu yanayotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi za Arusha na Babati OCTOBER INTAKE 2025, kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Wanachuo wanapaswa kusoma maelekezo yaliyowekwa hapa chini kwa umakini mkubwa:

Kuwasili Chuoni:
Wanachuo wanapaswa kuwasili Chuoni tarehe 6 Oktoba 2025

Vitu vinavyohitajika:
Wanachuo wote wanapaswa kuja na vyeti halisi na nakala mbili za: Cheti cha kuzaliwa, Cheti cha kuhitimu kidato cha nne, picha tatu za pasipoti zinazofanana na Fomu ya uthibitisho wa afya iliyojazwa na Daktari anayetambulika na Serikali.

Fomu ya maelekezo ya kujiunga:
Tafadhali pakua fomu ya maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions Form) katika Tovuti ya Chuo www.iaa.ac.tz au fika chuoni kupata barua yako.

Kuthibitisha Kujiunga na Chuo Kila mwanafunzi aliyechaguliwa na Serikali kujiunga na Chuo anatakiwa kuanzia sasa hadi kufikia tarehe 30.07.2025 athibitishe kuwa atajiunga na IAA kwa kubonyeza ‘link’ hii https://oas.iaa.ac.tz/tamisemilist

Jinsi ya kulipa Ada:
Ada italipwa kwa utaratibu ulioainishwa kwenye jedwali hili:

Kabla ya kusajiliwa, wanafunzi wote watapaswa pia kulipa Sh 20,000-(ichanganywe kwenye ada).

Fedha hii ni kwaajili ya kuhakiki Ubora na inalipwa NACTVET.

Pia kwa wale ambao hawana Bima ya Afya waje ni TZS 50,400.

NB. Hakikisha unalipa ada kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapo juu.

Unaweza kulipa kwa awamu au ada yote kwa mkupuo mmoja kulingana na matakwa yako.

Hosteli
Huduma za malazi kwa Chuo cha Uhasibu Arusha zinapatikana kwa gharama nafuu.

Kwa upande wa wanafunzi waliochaguliwa katika Kampasi ya Babati kwa mwaka wa masomo 2025/2026 watapata huduma za malazi (hosteli) bila malipo.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *