MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Rufiji Town Council

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Rufiji Town Council
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Rufiji Town Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Rufiji anapenda kuwaarifu waombaji kazi ya Ukusanyaji mapato kuwa usaili unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 14/07/2025 Muda saa 1:00 asubuhi katika Makao Makuu ya Halmashauri ya Mji Rufiji (Jengo jipya la Utawala)
- Usaili utafanyika tarehe 14/07/2025 Katika Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji (jengo jipya la Utawala) na muda ni saa 1.00 asubuhi.
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI.
- Wasailiwa watakaowasilisha
Testimonials, cha Provisional
Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. - Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?DOWNLOAD PDF HAPA
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
